Karibuni Chapeo Ya Wokovu
IFAHAMU CHAPEO YA WOKOVU. (Chapeotz) Tunakusalimu katika jina la Yesu Kristo aliye hai. Ukisoma bibilia kitabu cha neno la Mungu, Waefeso 6 :17 inasema; “Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu.” Neno hilo la Mungu katika kitabu hicho ndilo lililotufunua na kuanzisha mtandao wa kijamii ambao tumeupa jina la CHAPEO YA WOKOVU. Sababu ya kuanzisha mtandao huu ni kuwafikia watu wengi zaidi kwa urahisi, na kwa muda mfupi, hasa kwa kuzingatia mabadiliko ya ulimwengu wa leo.
SOMA NENO UKUE KIROHO
Je unapenda kukua kiroho kwa kutaka na kusoma kitabu kitakatifu yaani Biblia ? Basi Chapeo ya Wokovu ni Mwalimu wako na kiongozi wako.
SALI NA SISI
Chapeo inakukaribisha ewe ndugu kuwa miongoni mwa wana familia yake kwa kujumuika nasi katika Ibada zetu za kila siku
VIJANA WETU
Office Of Global Partnerships