Je Unayemwomba Akupe Mke/mume Mwema Una Uhusiano Naye Mzuri?
"Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu", 1 Pet 1:15-16 SUV. Kuna mazungumzo au hoja au jumbe huwa hatuzipendi sana kuzisikia kwenye masikio yetu, zaidi huwa tunapenda kusikia jumbe fulani nzuri za kututia moyo, sio vibaya kabisa ila [...]