Ndani Ya Kanisa Wapo Wadada Wazuri Wa Sura Na Umbo Waliokoka Vizuri Kabisa.
Imezoeleka kwa watu wengi sana wakisema usioe mwanamke mzuri sana atakutesa maana wengi sio waaminifu katika ndoa. Hii imewafanya wanaume wengi akitaka kuoa anatafuta mdada yeyote ambaye moyoni mwake sio chaguo lake halisi, ila amefanya hivyo kujiepusha na zile kauli za watu. Ukweli ni kwamba idadi ya wadada wengi wanaonekana wana sura nzuri, huwa wanapata [...]