Uongozi Wa Kulaumiwa Kwa Mazuri Uliyofanya Na Kuwachukulia Hatua Kali Wale Waliokosea
Hes 16:12-13 SUV[12] Kisha Musa akatuma kuwaita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu; nao wakasema, Hatuji sisi; [13] je! Ni jambo dogo, wewe kutuleta kutoka nchi iliyojawa na maziwa na asali, ili kutuua jangwani, lakini pamoja na haya wajikuza mwenyewe uwe mkuu juu yetu kabisa? Hawa ndugu Dathani na Abiramu kumgomea Musa na kumhoji mambo [...]