Neno La Leo – Page 3 – Chapeo Ya Wokovu

Kuogopa Aibu Kunavyoweza Kumsababishia Mtu Umauti.

Sio jambo geni kuona mtu fulani aliyekuwa amefanikiwa sana kwenye biashara zake, au alikuwa na cheo kikubwa. Alivyoondoka kwenye nafasi hiyo, na akaona anguko lake hilo ni aibu kwake kwa wale aliokuwa anafahamiana nao. Wengi wamechukua maamuzi ambayo wangekuwa na Roho Mtakatifu ndani yao wasingefanya hivyo. Kinachowafanya watu wengi waliofanikiwa kwenye nafasi fulani kuchukua maamuzi [...]

By | May 20th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Anayekupenda Atakulinda Na Kuhakikisha Usalama Wa Maisha Yako Upo.

Upendo kati ya mume na mke, huwezi kuondolewa/kutenganishwa kirahisi na wazazi, ndugu, au marafiki, kwa mwanaume/mwanamke anayejitambua. Tunaweza kufikiri mzazi au ndugu anaweza kuwa na nafasi kubwa ya kufanya kile anafikiri kwenye ndoa ya mtoto wao. Lakini hili haliwezi kupewa asilimia zote ikiwa wanandoa wale wanapendana. Ukiwa kama mzazi, au kaka, au dada, au ndugu [...]

By | May 14th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Madhara Ya Kuchoka Kusubiri Na Kujichukulia Maamzi Nje Na Utaratibu Wa KiMungu.

Mtu anaweza akawa mvumilivu sana, akavuka kila kikwazo katika maisha yake, sio kwa uwezo wake na akili zake. Kila kikwazo alichovuka, Mungu alimvusha na akabaki salama. Akawa shuhuda mzuri hata kwa wale ambao hawajamjua Mungu, sio hilo tu, hata wale ambao bado hawajakomaa vizuri kiroho. Wanakuwa na mambo mazuri wanayojifunza kwa mtu huyo. Lakini pamoja [...]

By | May 12th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Hasira Ya Mungu Kuwaka Ndani Ya Mtu.

Vipo vitu unaweza usielewe chochote na ukabakia kulalamika, na kuona unasemwa vibaya, ama ukaona mtu fulani anasemwa vibaya, au hakupaswa kukemewa hadharani. Unaona kabisa hakupaswa mtu yule kusema hayo maneno, ukaenda mbali zaidi na kuona watumishi wa Mungu huwa hawapo hivyo. Mawazo yetu bila kufahamu neno la Mungu linasemaje, yanaweza yasiwe sawa kabisa. Yanakuwa ni [...]

By | May 5th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Mwenye Uwezo Wa Kugeuza Moyo Wa Mtu Akawa Tofauti Na Alivyozoeleka.

Mtu anaweza akawa anahaingaka sana kumbadilisha mwenzake atoke kwenye tabia fulani mbaya, na awe na tabia njema. Mahangaiko yale yanaweza yasizae matunda kabisa, na akabaki anaumia na kutumia nguvu za mwili na akili zake. Tunachopaswa kufahamu ni kwamba, mwenye uwezo wa kumbadilisha mtu tabia mbaya na kuwa nzuri ni Mungu mwenyewe. Sio hilo tu, tunapaswa [...]

By | April 24th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Watoto Wako Wanaweza Kwenda Tofauti Na Vile Ulivyowaandaa Waje Wawe.

Ukiwa kama mzazi unaweza ukawa unatamani watoto wako au mtoto wako awe mtu fulani baadaye, kwahiyo malezi yako yanaweza yakawa yanamjengea uwezo mtoto wako aje awe mtu unayemtaka. Siku zote unaweza ukawa unatumia muda wako mwingi sana kumjenga mtoto wako aje awe mtu fulani unayemtaka wewe. Sio kana kwamba unamtengeneza aje awe mtu fulani mbaya, [...]

By | April 23rd, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Angalia Namna Ya Upelekaji/Utoaji Wako Wa Taarifa Ngumu/Mbaya, Unaweza Kusababisha Madhara Makubwa.

Katika vitu ambavyo unapaswa kuwa navyo makini sana ni utoaji wa taarifa ngumu/mbaya. Kwanini nasema hivi; zipo taarifa kama vile kifo, mtu kuondokewa na mpendwa wake, au mtu wake wa karibu. Anaweza akawa mzazi, mume, mke, mtoto, mtu aliyeondokewa na mmoja kati ya watu hao. Mtu huyo hapaswi kupelekewa taarifa kienyeji, bila kuwa na tahadhari [...]

By | April 17th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Anayeshusha Chini Watu Na Anayeinua Juu Watu.

Kama yupo mtu mwenye uwezo wa kumshusha chini mtu, na mwenye uwezo wa kumwinua juu mtu. Kwa vyovyote vile mtu huyo anaweza akawa anaogopwa na kuheshimiwa sana na watu. Watu wakishajua hilo, ila kama bado hawajajua hilo wanaweza wakawa wanamchukulia kawaida sana. Leo unapaswa kuelewa hili, yupo anayeweza kukupandisha juu, na anayeweza kukushusha chini. Hii [...]

By | April 16th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Fanya Mema Watu Wenyewe Watazisambaza Habari Zako Njema.

Wakati mwingine mtu anaweza akawa na hamu ya watu wengine kuzisema habari zake njema. Asipoona watu wakifanya vile anatamani iwe, anaweza akaanza kupata shida moyoni mwake kwa hilo. Kupata kwake shida kunaweza kusababisha baadhi ya madhara katika maisha yake. Kama alikuwa anajituma kwenye eneo fulani la huduma au kazi, baada ya kuona watu hawafanyi vile [...]

By | April 12th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Watataka Wajue Siri Ya Mafanikio Yako Kwa Lengo La Kukuangusha Chini.

Mtu yeyote akimpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wa maisha yake. Mtu huyo akajitoa kweli kwa Yesu, akawa hana mambo mengine machafu/mabaya. Huyo mtu hatakuwa wa kawaida, kipo kitu ambacho kitakuwa tishio kwa Shetani. Kitu chochote kinapokuwa tishio kwa Shetani, atatafuta kila njia kukuangusha au kukurudisha nyuma. Wapo watu watakuja kutaka kujua siri ya [...]

By | April 11th, 2020|Neno La Leo|0 Comments

Watch Dragon ball super