Ninamshukuru Mungu Kwa Mambo Makuu Ambayo Amenitendea.
Ninamshukuru Mungu Kwa Mambo Makuu Ambayo Amenitendea. Nina ushuhuda mfupi ambao naamini utaenda kumwinua mtu mmoja kati yetu. Ni ukweli kwamba sikuwa na huduma ambayo nilikuwa naona kuwa hii ndiyo huduma niliyoitiwa kuifanya hapa duniani nilikuwa sielewi kabisa. Ilikuwa mwaka 2016, nilipojiunga na kundi la wasap la chapeo ya wokovu la kusoma neno la Mungu [...]