SOMA NENO UKUE KIROHO 696; Hutoitwa Tena Hilo Jina Lako.
Kuna watu wamepewa majina ambayo ni tofauti na ya wazazi wao waliowapa, na kama ndio wazazi wenyewe waliamua kumwita mtoto wao hivyo watakuwa na sababu maalum. Yapo majina watu wamepewa, majina ambayo yanawatambulisha sifa yao njema, wapo watu wanaitwa makamanda wa Yesu. Ukimwangalia utaona jina lake linafanana na vile matendo yalivyo. Wapo watu majina yao [...]