Karibuni Chapeo Ya Wokovu

IFAHAMU CHAPEO YA WOKOVU. (Chapeotz) Tunakusalimu ka​​tika jina la Yesu Kristo aliye hai. Ukisoma bibilia kitabu cha neno la Mungu, Waefeso 6 :17 inasema; “Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu.” Neno hilo la Mungu katika kitabu hicho ndilo lililotufunua na kuanzisha mtandao wa kijamii ambao tumeupa jina la CHAPEO YA WOKOVU. Sababu ya kuanzisha mtandao huu ni kuwafikia watu wengi zaidi kwa urahisi, na kwa muda mfupi, hasa kwa kuzingatia mabadiliko ya ulimwengu wa leo.

Jiunge Nasi

SOMA NENO UKUE KIROHO

Je unapenda kukua kiroho kwa kutaka na kusoma kitabu kitakatifu yaani Biblia ? Basi Chapeo ya Wokovu ni Mwalimu wako na kiongozi wako.

LEARN MORE

SALI NA SISI

Chapeo inakukaribisha ewe ndugu kuwa miongoni mwa wana familia yake kwa kujumuika nasi katika Ibada zetu za kila siku

LEARN MORE

VIJANA WETU

Office Of Global Partnerships

LEARN MORE