Chapeo Ya Wokovu – Chapeo Ya Wokovu

About Chapeo Ya Wokovu

This author has not yet filled in any details.
So far Chapeo Ya Wokovu has created 1096 blog entries.

Hatari Inayoweza Kusababishwa Na Mzazi Kumpenda Mtoto Wake Mmoja

"Basi Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote, maana ni mwana wa uzee wake, akamfanyia kanzu ndefu. Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani", Mwa 37:3‭-‬4 SUV. Yakobo alionyesha upendo wake mkubwa kwa mtoto wake Yusufu, upendo huu ulikuwa mzuri sana kwa mtoto, kama [...]

By | June 7th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Usiwe Mbali Na Mungu Katika Kufanikiwa Kwako

"Esau akawatwaa wakeze, na wanawe, na binti zake, na watu wote wa nyumbani mwake, na ng’ombe zake, na wanyama wake wote, na mali yake yote, aliyoyapata katika nchi ya Kanaani; akaenda mpaka nchi iliyo mbali na Yakobo nduguye. Maana mali yao yalikuwa mengi wasiweze kukaa pamoja, wala haikuweza nchi ya kusafiri kwao kuwachukua, kwa sababu [...]

By | June 6th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Ondoa Miungu Mingine Kumruhusu Mungu Kuingia Katika Maisha Yako

"Yakobo akawaambia watu wa nyumbani mwake, na wote waliokuwa pamoja naye, Ondoeni miungu migeni iliyoko kwenu, mjisafishe mkabadili nguo zenu", Mwa 35:2 SUV. Baada ya kuona matukio magumu katika sura iliyopita ya 34, katika sura hii ya 35 tunaona maelekezo ya Mungu akimpa Yakobo aende Betheli akamfanyie madhabahu. Eneo hili ni lile ambalo Mungu alimtokea [...]

By | June 5th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Usiende Kinyume Na Maagizo Ya Mungu Utaingia Kwenye Majuto

"Basi Dina, binti Lea, ambaye Lea alimzalia Yakobo, akatoka kuwaona binti za nchi. Shekemu, mwana wa Hamori, Mhivi, mkuu wa nchi, akamwona akamtwaa, akalala naye, akambikiri", Mwa 34:1‭-‬2 SUV. Yakobo alipokuwa anatoka kwa Labani alipewa maagizo na Mungu arudi nyumbani kwao kwa Isaka, Lakini badala yake aliweka makazi kwenye mji wa kipagani wa shekemu. Kinyume [...]

By | June 3rd, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Tafufa Kupatana Na Mliyekosana Naye Kwa Gharama Yeyote

"Esau akaja mbio kumlaki, akamkumbatia, na kumwangukia shingoni, akambusu; nao wakalia", Mwa 33:4 SUV. Kitendo cha Yakobo kuchukua baraka ya uzaliwa wa kwanza, kwa Esau ilimkaa vibaya sana na kupelekea ugomvi kati ya Yakobo na Esau, baada ya miaka mingi kupita tunaona Yakobo alitaka kurejea kwenye nchi yake. Kabla ya kufika alianza kutengeneza mazingira ya [...]

By | June 2nd, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Mungu Anao Uwezo Wa Kubadilisha Jina Lako Baya Ulilopewa Na Watu

"Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko", Mwa 32:29 SUV. Kila jina lina maana yake, wapo hupewa majina kutokana na matukio waliyokutana nayo wazazi, sio ajabu kukutana na mtu anaitwa Mawazo, Tabu, Shida na majina mengine mengi yanayofanana na hayo. Wapo hupewa majina kutokana na mambo mazuri [...]

By | June 1st, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Kwanini Raheli Aliviiba Vinyago Vya Baba Yake Yakobo?

"Basi Labani alikuwa amekwenda kuwakata manyoya kondoo zake, na Raheli akaviiba vinyago vya babaye", Mwa 31:19 SUV. Raheli kuiba vinyago vya baba yake Yakobo, alafu wakati wa ukaguzi akamdanganya baba yake asivione ili aendelee kuwa navyo yeye. "Naye Raheli akamwambia babaye, Bwana wangu asikasirike kwa sababu siwezi kuinuka mbele yako, maana nimeshikwa na mambo ya [...]

By | May 31st, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Uwe Macho Usije Ukabadilishiwa Ulichokikusudia Kukipata Kwenye Maisha Yako

"Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea, binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake. Ikawa, kulipokuwa asubuhi, kumbe! Ni Lea. Akamwambia Labani, Nini hii uliyonitenda?", Mwa 29:23‭, ‬25 SUV Yakobo alimpenda sana Raheli, baada ya kutimiza miaka yake saba ya kuchunga alimjulisha Labani ampe mke wake. Siku ya tukio lenyewe ambalo inaonyesha sherehe ilifanyika usiku, badala [...]

By | May 29th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Kutoa Ni Ishara Ya Upendo

Mwl: Kashai M. Yoh 3:1616 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Bwana Yesu Apewe sifa mpendwa msomaji wangu! Leo acha tupate dakika chache tujifunze kwa habari ya utoaji uletao baraka malangoni petu. Kila kitu kina kanuni zake na ni [...]

By | May 28th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Nafasi Yako Ya Juu Mungu Aliyokujalia Uwepo Isikufanye Usiwe Mnyenyekevu

"Ibrahimu akaondoka, akainama mbele ya watu wa nchi, mbele ya hao wazawa wa Hethi", Mwa 23:7 SUV. Inaonyesha kwamba sehemu pekee aliyopewa Ibrahimu na kuimiliki kuwa Mali yake huko Kanaani, lilikuwa kaburi na eneo alilomzikia mke wake Sarah. "Kwa imani alikaa ugenini katika ile nchi ya ahadi, kama katika nchi isiyo yake, akikaa katika hema [...]

By | May 22nd, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Watch Dragon ball super