Chapeo Ya Wokovu – Page 3 – Chapeo Ya Wokovu

About Chapeo Ya Wokovu

This author has not yet filled in any details.
So far Chapeo Ya Wokovu has created 1096 blog entries.

Barua Muhimu Kwa Makanisa Saba

“Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu. Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa [...]

By | April 1st, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Ndugu Yako Akiwa Mhitaji Onyesha Moyo Wa Upendo Kwake

"Lakini mtu akiwa na riziki ya dunia, kisha akamwona ndugu yake ni mhitaji, akamzuilia huruma zake, je! Upendo wa Mungu wakaaje ndani yake huyo?", 1 Yoh 3:17 SUV. Jamii zinatofautiana na maisha wanavyoishi wanapishana baadhi ya maeneo kadhaa kutokana na tamaduni na taratibu zao za familia. Wapo watu wanaishi kwa pamoja na sehemu moja kutokana [...]

By | March 31st, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Siku Moja Ni Kama Miaka Elfu Moja

"Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja", 2 Pet 3:8 SUV. Mtazamo wetu na wa Mungu unaweza kupishana tusipoelewa, yapo mambo tunayatazama kutokana na tulivyozoea mazingira yetu. Tukija katika suala la muda, Mungu hutazama muda kwa mtazamo wa umilele. "Maana miaka [...]

By | March 21st, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Tunaongozwa Na Roho Mtakatifu Kunena Yaliyotoka Kwa Mungu

"Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu", 2 Pet 1:21 SUV. Petro anatuthibitishia wazi asili ya Kimungu na mamlaka yake ya unabii kwenye Maandiko Matakatifu. Waamini wote wanapaswa kuwa na mtazamo usiobadilika kuhusu maandiko matakatifu yaliyovuviwa na yaliyojaa mamlaka ya Kimungu. Ukishasoma neno [...]

By | March 18th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Usiwe Na Tamaa Ya Fedha Ukitaka Kumtumikia Mungu Vizuri

"Lichungeni kundi la Mungu lililo kwenu, na kulisimamia, si kwa kulazimishwa, bali kwa hiari kama Mungu atakavyo; si kwa kutaka fedha ya aibu, bali kwa moyo", 1 Pet 5:2 SUV. Ukiwa mtumishi wa Mungu na kiongozi wa kanisa unapaswa kujihadhari na mambo mawili hatari; Kupenda Fedha, moja ya kanuni katika agano jipya kwa waangalizi au [...]

By | March 17th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Njia Rahisi Ya Kumvuta Mume Wako Kwenye Maisha Ya Wokovu

"Kadhalika ninyi wake, watiini waume zenu; kusudi, ikiwa wako wasioliamini Neno, wavutwe kwa mwenendo wa wake zao, pasipo lile Neno", 1 Pet 3:1 SUV. Petro anatoa fundisho kwa mwanamke aliyeolewa na aliyepata neema ya wokovu wakiwa kwenye ndoa. Anapaswa awe na ushawishi kupitia matendo yake, ili aweze kumvuta mume wake asiyeamini aweze kuokoka. Moja ya [...]

By | March 15th, 2023|Mahusiano|0 Comments

Uhuru Wetu Hauturuhusu Kutenda Dhambi

"Ishini kama watu huru, lakini msitumie uhuru wenu kama kisingizio cha kutenda uovu, bali ishini kama watumishi wa Mungu", 1 Petro 2:16 NEN. Moja ya mambo muhimu sana kufahamu ni hili, wapo baadhi ya watu wametumia neno la Mungu vibaya. Uhuru tulionao katika Kristo sio uhuru wa kufanya mabaya, sio uhuru wa kufanya tunachojisikia. Tunaweza [...]

By | March 14th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Tunalindwa Na Nguvu Za Mungu Kwa Njia Ya Imani

"Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho", 1 Pet 1:5 SUV. Petro anatupa ujumbe muhimu sana kwa mwamini vile tunalindwa na nguvu za Mungu na tunavyoweza kuwa salama. Ukiwa mwamini unalindwa na nguvu za Mungu dhidi ya majeshi ya pepo wabaya, ambayo yanaweza [...]

By | March 13th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Mrejeshe Kwenye Njia Sahihi Yule Aliyerudi Nyuma Kiimani

"Ndugu zangu, ikiwa mtu wa kwenu amepotelea mbali na kweli, na mtu mwingine akamrejeza; jueni ya kuwa yeye amrejezaye mwenye dhambi hata atoke katika njia ya upotevu, ataokoa roho na mauti, na kufunika wingi wa dhambi", Yak 5:19‭-‬20 SUV. Moja ya kazi kubwa ambayo tunapaswa kuifanya waamini ni kufanya kila linalowezekana kuhakikisha wale waliopotoka katika [...]

By | March 11th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Usijivune Kupitiliza Kwa Mafanikio Uliyopata Ukaona Wengine Hawajitumi

"Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kote kwa namna hii ni kubaya", Yak 4:16 SUV. Wapo watu huweka malengo yao makubwa na wakafanikiwa kuyatimiza kama walivyopanga, jaribu linalowapata watu hawa ni majivuno. Majivuno haya huwajengea dhana potofu na ya uongo kuwa kufanikiwa kwao ni kwa akili zao na juhudi zao binafsi. Husahau kabisa kuwa [...]

By | March 11th, 2023|Neno La Leo|0 Comments

Watch Dragon ball super