FIKIRI ZA SIKU – Page 3 – Chapeo Ya Wokovu

FIKIRI 11; UNGENYAMAZA.

Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo aliye hai, Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa uzima wake ambao anaendelea kunipa, na hii nafasi ya kuendelea kutukutanisha na wewe. Kunyamaza ni nzuri sana, na vile vile kunyamaza ni mbaya sana, upo wakati unapaswa kunyamaza kimya. Na upo wakati unapaswa kutonyamaza kimya. Kwanini nasema hivi, hebu fikiri [...]

By | February 2nd, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 10; UNACHOKATAZWA.

Yesu asifiwe, siku nyingine tena Bwana ametupa nafasi ya kuifikia. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa nafasi hii. Mtoto unaweza ukamkataza kitu na akaona unamwonea, wakati wewe unaona madhara ya hicho kitu. Yeye anakuwa anaona kizuri kwake. Kwahiyo unaweza kupambana kumkataza kitu ila ukijisahau kidogo au ukawa haupo karibu naye. Utamkuta amerudia kufanya kile [...]

By | February 1st, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 9; WATAKAOKUTETEA WATASEMAJE.

Bwana Yesu asifiwe ndugu, Mungu ni mwema ametupa siku nyingine tena mpya. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu. Sio kila mahali tunaweza kuwepo, sio kila shutuma tunaweza kusisima na kujitetea wenyewe. Na sio kila shutuma mbaya tunakuwepo wenyewe inapovumishwa juu yetu. Kwa kuwa hatuwezi kuwepo kila mahali, kwa kuwa hatuwezi kusimama kila mahali kujitetea, na [...]

By | January 31st, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 8; KULALAMIKA.

Yesu asifiwe, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa nafasi hii aliyotupa siku ya leo. Yapo mambo ambayo yanamfanya mtu alalamike, labda kwa kutendewa au kufanyiwa ndivyo sivyo, hii inamfanya mtu alalamike. Wapo wengine kazi yao ni kulalamika tu, hata kama wanayoyalalamikia walipaswa kuchukua hatua wenyewe. Utakuta wanawalalamikia wengine. Uwe unalalamika kwa kutendewa vibaya, ama [...]

By | January 30th, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 7; UMEJARIBU KUFANYA.

Yesu asifiwe, Mungu ni mwema ametupa nafasi nyingine ya kuiona siku ya leo, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu. Kusema kwa maneno utafanya inaweza isiwe kazi ngumu sana kwa anayesema, lakini ukija kwenye kutenda anaweza asitende kama alivyotamka. Yapo mambo mengine yanawatia watu hofu pasipo kujaribu, anaweza akawa alijaribu mwingine. Huyo akawa anamtia hofu ya [...]

By | January 29th, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 6; ELFU MOJA.

Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo, habari za Leo, Mungu ni mwema ametupa nafasi nyingine ya kuiona siku ya leo. Kufikiri ni jambo la muhimu sana katika maisha yetu, bila kukaa na kutenga muda wako wa kufikiri juu ya maisha yako. Utakuwa unaishi ilimradi siku ziende bila kujua unakoelekea. Tunaweza tukawa hodari kulalamika kuwa hatuna [...]

By | January 28th, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 5; UNACHOAMBIWA.

Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo, siku nyingine tena Bwana ametupa nafasi ya kuifikia. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa nafasi hii. Vipo vitu katika maisha yetu ya kila siku huwa tunaambiwa, vinaweza kuwa ni vitu vizuri, na vinaweza kuwa vitu vibaya kwetu. Ikiwa ni taarifa nzuri kwako, je huwa una kitu ambacho kinakupa [...]

By | January 27th, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 4; UNACHOFANYA LEO.

Yesu asifiwe, Bwana ni mwema sana ametupa nafasi ya kuiona siku ya leo, tuna kila sababu ya kumshukuru kwa matendo yake makuu kwetu. Asilimia kubwa kila mmoja wetu ana kitu cha kufanya, hata kama kinaonekana ni cha kawaida kipo anafanya. Wapo hawajawahi kufikiri wanachofanya leo kina mchango mkubwa sana katika maisha yao ya miaka 3 [...]

By | January 26th, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 3; ULICHOSIKIA.

Yesu asifiwe, ninamshukuru Mungu kwa uzima alionipa siku ya leo, na kunipa nafasi ya kukuletea ujumbe huu. Tumekuwa watu wa kusikia maneno mazuri yakisemwa juu ya mtu fulani, bila kuzipima hizo sifa anazopewa mtu ni za kweli. Ama ametengeneza watu wa kumsemea vizuri lakini sivyo alivyo huyo mtu. Tumekuwa watu wa kusikia maneno mabaya au [...]

By | January 25th, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

FIKIRI 2; UKIFA LEO.

Yesu asifiwe, siku nyingine tena Bwana ametupa nafasi ya kuifikia. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa nafasi hii adimu. Kifo kinapotamtakwa kwenye masikio yetu, huwa kinatisha na wengi wetu hatupendi kitajwetajwe. Maana huwa tunaona kama mkosi fulani hivi. Lakini pamoja na kuogopa huko kutajwa kwake, bado haijawahi kutokea kifo kikatoweka katika maisha ya mwanadamu. [...]

By | January 24th, 2020|FIKIRI ZA SIKU|0 Comments

Watch Dragon ball super