Madhara 5 Ya Kutosamehe Mchumba/Rafiki Uliyempenda Sana Akakuacha.
Nanyi, kila msimamapo na kusali, sameheni, mkiwa na neno juu ya mtu; ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu. [ Lakini kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.] Mk 11:25-26 SUV Kama kuna jambo ambalo wengi wetu huwa hatulioni kuwa ni la muhimu, na wengi wetu [...]