Mahusiano – Page 3 – Chapeo Ya Wokovu

Unawezaje Kushinda Kipindi Kigumu Cha Kuchelewa Kwako Kuolewa, Huku Umri Wako Unazidi Kukutupa Mkono?

Tukiachana na changamoto zingine za maisha zinazowakabili wanawake, moja ya changamoto kubwa inayowasumbua wadada/wanawake wengi ni kuwa na hamu ya kuolewa na mwanaume sahihi kwao. Ila pamoja na kuwa na hamu hiyo, hao wanaume wanakuwa hawaonekani, wengi wanaokuja kwao ni wale wanaotaka kufanya nao uasherati kwanza. Hakuna kitu kibaya kinachokujia katika maisha yako bila kuwa [...]

By | December 1st, 2018|Mahusiano|0 Comments

JE, MBINGUNI KUNA HABARI YA KUOA/KUOLEWA?

Siku moja nikamsikia mtu mmoja anasema akifika peponi ataoa mke mzuri, ni kama jambo la kushangaza kumsikia mtu akizungumza maneno kama hayo. Ila mtu huyu ndio anaamini hivyo, amejengwa katika msingi wa namna hiyo. Haijalishi una mke mzuri sana hapa Duniani, jua huyo ni wa hapa hapa Duniani, wala haijalishi una mume mzuri sana na [...]

By | November 22nd, 2018|Mahusiano|0 Comments

MAISHA KABLA YA NDOA NA MAISHA BAADA YA NDOA.

Leo tunatimiza mwaka mmoja tangu tufunge ndoa na mke wangu Rebecca ambayo ilikuwa tar 21/10/2017 siku tuliyofunga ndoa, yapo mambo machache ninatamani kuyazungumza hapa hasa yaliyoujaza moyo wangu kwa furaha. Utasema ili iweje, mwaka mmoja tu unaona kitu cha ajabu sana wakati wengine tupo mwaka wa 5 au 10 sasa lakini hatusemi kitu. Na kweli [...]

By | October 21st, 2018|Mahusiano|0 Comments

Usioe/Usiolewe Na Mtu Unayemwona Kwako Sio Mzuri Wa Sura Au Anayekuona Wewe Sio Mzuri Wa Sura.

Kuanza kujuta kwenye ndoa huwa inaanza mapema sana kabla humjaanza kuishi pamoja kama mume na mke, japo wakati bado hamjaoana huwa sio rahisi sana kujua hilo. Kuna watu wanahangaishwa sana na sura kuliko tabia nzuri ya mtu, kuna watu wanaona sifa na wanajisikia fahari sana kuwa na mwanamke mwenye sura nzuri ni jambo nzuri sana [...]

By | September 16th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Uhusiano Wa Magendo Baina Ya Mvulana Na Msichana.

Ndugu kama ulikuwa hujui uhusiano wa Magendo huwa upo, leo utaenda kuufahamu, twende pamoja katika somo hili utaelewa namaanisha nini ninaposema uhusiano wa Magendo. Kabla ya kulalamika wadada ni wabaya, kabla hatujawatupia lawama wakaka, tunapaswa kujiuliza mahusiano tunayokuwa nayo au tunayoanzisha huwa yanamtukuza Mungu au huwa yanasababisha jina la Bwana litukanwe. Dada anaanzisha uhusiano kwa [...]

By | August 25th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Kama Alivyo Mama, Ndivyo Alivyo Na Binti Yake.

Akina mama wana mchango mkubwa sana kwa binti zao, wanaweza kuwafunza tabia njema, pia wanaweza kuwafunza tabia mbaya. Katika kuwafunza tabia binti zao, zipo tabia binti zao watajifunza kwa kutazama/kuwaona. Na zipo tabia za kufundishwa kwa kuelekezwa namna ya kufanya vitu au namna ya kuishi. Ukiachana na tabia za kujifunza huko nje, mama ana mchango [...]

By | May 24th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Mwanamke Mpumbavu Hupiga Kelele.

Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya tushindwe kuwa na amani kwenye mahusiano yetu. Ukiwa kama binti, unaweza usiwe na tabia zingine mbovu unazojua wewe kama vile zinaa ila ukawa na kitu hichi, "kelele/makelele" unashangaa kila baada ya muda [...]

By | May 10th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Usilazimishe Kuoa/Kuolewa Mahali Ambapo Mungu Amekukataza.

Kujiona tunajua sana kupenda kuliko watu wengine, imetugharimu maeneo mengi sana katika maisha yetu ya ndoa. Mtu anaona kila dalili za mdada/mkaka anayetarajia kuanza naye maisha ya ndoa siku chache zijazo. Anamhangaisha kila siku, Mungu amejaribu kumwonyesha jinsi alivyo na tabia mbaya. Bado utakuta mtu ameng'ang'ana tu na huyo dada/ kaka. Anachosimamia yeye, ni kwamba [...]

By | March 31st, 2018|Mahusiano|0 Comments

Kuchelewa Kumpata Wa Kuoa/Kuolewa Naye Isikufanye Ujitupie Kwa Mwanaume/Mwanamke Yeyote.

Mahusiano yangu ya kwanza wakati nimepanga huyu ndiye atakuwa mke wangu, ilivyofika mahali yakaharibika, licha ya kuwa ilikuwa ni mpango wa Mungu mahusiano yale yavunjike. Ilinipa shida sana kuanza tena uhusiano mpya(uchumba) ilinipa shida pia kumpata yule ambaye Mungu mwenyewe alimtaka awe mke wangu. Kipindi chote hicho nilipata mhangaiko mkubwa sana ndani yangu. Wakati mwingine [...]

By | March 25th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Kiungo Gani Cha Mwili Kwa Mke/Mume Wako Kinakuvutia Zaidi Kwenye Macho Yako.

Kujifunza kunaondoa ujinga mwingi aliokuwa nao mtu, ni kuamua yeye kuendelea kuwa mjinga baada ya kupata maarifa, ama kuamua kuwa mwerefu. Maana sio wote wanaopata maarifa huwa wanaweza kubadilika hapo hapo. Nakiri kitabu hichi cha Wimbo Ulio Bora, kimetoa wengi kwenye giza ambalo walikuwemo. Giza hili linaweza kuwa lilifanya wengi waishi na waume/wake zao kama [...]

By | November 17th, 2017|Mahusiano|0 Comments

Watch Dragon ball super