Mahusiano – Page 4 – Chapeo Ya Wokovu

Uhusiano Wa Magendo Baina Ya Mvulana Na Msichana.

Ndugu kama ulikuwa hujui uhusiano wa Magendo huwa upo, leo utaenda kuufahamu, twende pamoja katika somo hili utaelewa namaanisha nini ninaposema uhusiano wa Magendo. Kabla ya kulalamika wadada ni wabaya, kabla hatujawatupia lawama wakaka, tunapaswa kujiuliza mahusiano tunayokuwa nayo au tunayoanzisha huwa yanamtukuza Mungu au huwa yanasababisha jina la Bwana litukanwe. Dada anaanzisha uhusiano kwa [...]

By | August 25th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Kama Alivyo Mama, Ndivyo Alivyo Na Binti Yake.

Akina mama wana mchango mkubwa sana kwa binti zao, wanaweza kuwafunza tabia njema, pia wanaweza kuwafunza tabia mbaya. Katika kuwafunza tabia binti zao, zipo tabia binti zao watajifunza kwa kutazama/kuwaona. Na zipo tabia za kufundishwa kwa kuelekezwa namna ya kufanya vitu au namna ya kuishi. Ukiachana na tabia za kujifunza huko nje, mama ana mchango [...]

By | May 24th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Mwanamke Mpumbavu Hupiga Kelele.

Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya tushindwe kuwa na amani kwenye mahusiano yetu. Ukiwa kama binti, unaweza usiwe na tabia zingine mbovu unazojua wewe kama vile zinaa ila ukawa na kitu hichi, "kelele/makelele" unashangaa kila baada ya muda [...]

By | May 10th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Usilazimishe Kuoa/Kuolewa Mahali Ambapo Mungu Amekukataza.

Kujiona tunajua sana kupenda kuliko watu wengine, imetugharimu maeneo mengi sana katika maisha yetu ya ndoa. Mtu anaona kila dalili za mdada/mkaka anayetarajia kuanza naye maisha ya ndoa siku chache zijazo. Anamhangaisha kila siku, Mungu amejaribu kumwonyesha jinsi alivyo na tabia mbaya. Bado utakuta mtu ameng'ang'ana tu na huyo dada/ kaka. Anachosimamia yeye, ni kwamba [...]

By | March 31st, 2018|Mahusiano|0 Comments

Kuchelewa Kumpata Wa Kuoa/Kuolewa Naye Isikufanye Ujitupie Kwa Mwanaume/Mwanamke Yeyote.

Mahusiano yangu ya kwanza wakati nimepanga huyu ndiye atakuwa mke wangu, ilivyofika mahali yakaharibika, licha ya kuwa ilikuwa ni mpango wa Mungu mahusiano yale yavunjike. Ilinipa shida sana kuanza tena uhusiano mpya(uchumba) ilinipa shida pia kumpata yule ambaye Mungu mwenyewe alimtaka awe mke wangu. Kipindi chote hicho nilipata mhangaiko mkubwa sana ndani yangu. Wakati mwingine [...]

By | March 25th, 2018|Mahusiano|0 Comments

Kiungo Gani Cha Mwili Kwa Mke/Mume Wako Kinakuvutia Zaidi Kwenye Macho Yako.

Kujifunza kunaondoa ujinga mwingi aliokuwa nao mtu, ni kuamua yeye kuendelea kuwa mjinga baada ya kupata maarifa, ama kuamua kuwa mwerefu. Maana sio wote wanaopata maarifa huwa wanaweza kubadilika hapo hapo. Nakiri kitabu hichi cha Wimbo Ulio Bora, kimetoa wengi kwenye giza ambalo walikuwemo. Giza hili linaweza kuwa lilifanya wengi waishi na waume/wake zao kama [...]

By | November 17th, 2017|Mahusiano|0 Comments

Kukonyezana Kunavyoweza Kutumika Vibaya.

Haleluya, Kuna wakati unaweza kusoma biblia na kuanza kujiuliza mengi sana, kuna tabia tunaweza kusema ni mpya au tunaweza kusema labda mtu amejiundia tu kumbe zilikuwepo tangu zamani. Tabia ya kukonyezana kumbe ipo ndani ya maandiko matakatifu, kumbe haka ka tabia kanaonekana ni hatari sana kwa watumiaji wake. Kwa upande mwingine kanaweza kuwa kazuri, ila [...]

By | September 27th, 2017|Mahusiano|0 Comments

Unasubiri Uanze Kuugua Ndio Uanze Kukumbuka Mafundisho Ya Walimu Wako.

Haleluya, Leo uzinzi na uasherati ni jambo la kawaida kwa waumini wengi makanisani, sio jambo la kuogopeka kama ilivyokuwa zamani ukisikia mkristo ana fanya uzinzi/uasherati. Lazima kila mtu apate mshangao mkubwa. Leo uasherati na uzinzi ni sehemu ya ibada za watu, kijana wa kiume anatembea na wadada bila wasiwasi wowote. Dada naye hana aibu kabisa [...]

By | September 26th, 2017|Mahusiano|0 Comments

Ukishaolewa/Ukishaoa Sahau Wa Kwenu.

Haleluya, Zipo tabia ambazo huwa tunaziendeleza na kujikuta tunaharibu mahusiano yetu ya ndoa, kwa sababu tu ya uzembe wetu wenyewe. Unakutana na dada/kaka ameanza maisha ya ndoa lakini bado anafanya mambo kama vile anaishi na wazazi wake. Anaona hawezi kumshirikisha mwenzake mambo mengine isipokuwa yale tu anayoona kwake inafaa. Badala ya kushauriana na mwenzi wake [...]

By | September 3rd, 2017|Mahusiano|0 Comments

NIDHAMU YA MAHUSIANO.

Shida inayotesa vijana leo, ni kushindwa kuwa na nidhamu binafsi pasipo kuchungwa na mtu. Wengi tunakuwa tumevaa kakofia fulani hivi cha upole, ila ndani yake si kweli. Idadi kubwa huanguka dhambini na wachumba zao, madai yao ikiwa ilikuwa bahati mbaya. Tunapozungumzia nidhamu binafsi, ni kujiheshimu wewe kama wewe pasipo kusubiri uonekane kwa watu. Kukujijengea tabia [...]

By | June 21st, 2017|Mahusiano|0 Comments

Watch Dragon ball super