Mahusiano – Page 5 – Chapeo Ya Wokovu

SAFARI ZA KWENDA KWA MCHUMBA WAKO USALAMA UPO KWELI.

Kutembeleana baina ya wachumba sio vibaya, ikiwa nia yao ni moja na haina tamaa ya ngono ndani yake. Hakuna ubaya wowote mchumba kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa ajili ya kumtembelea mwenzake. Inakuwaje mkaka unatembelewa na mchumba wako mnalala naye chumbani kwako kwa ujasiri mkubwa kabisa, huku kanisani wanakujua umeokoka, ni mtoa huduma mzuri. [...]

By | January 27th, 2017|Mahusiano|0 Comments

MASIKIO WANAYO ILA HAWASIKII, NA MACHO WANAYO ILA HAWAONI

Usishangae kwa uyaonayo kwa watu wanaoona wapo sahihi kwa njia waziendeazo, usitaajabu kuona watu wanamwamini mtumishi wa uongo. Hata kama wanaambiwa hapo walipo sio sehemu salama ya kuwaogoza wafike kwa Baba mbinguni, hawatakuelewa na ikiwezekana watakuona hujui chochote. Neno la Mungu lilishasema, wapo watu wana masikio lakini hawasikii kitu, wapo watu wana macho ya kuona [...]

By | January 12th, 2017|Chapeo Zote, Mahusiano, Neno La Leo, Soma Biblia|0 Comments

SOMA NENO UKUE KIROHO _76

Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo aliye hai, asubuhi nyingine tena Bwana ametupa kibali cha kuiona. Bado unaendelea kujifunza NENO la Mungu au tayari umeanza kuvunjika moyo, au bado hujaanza kabisa kusoma NENO ukijiahidi utaanza kesho. Tulianza na ahadi nyingi sana, unakumbuka ulichoahidi kuwa mwaka huu ni wa kusoma NENO, swali langu ni je umeanza, [...]

By | January 6th, 2017|Chapeo Zote, Mahusiano, Soma Biblia|0 Comments

Watch Dragon ball super